Menu
 

WASHINDI WA PROMOSHENI YA AMSHA MAISHA YAKO NA COCA COLA  NYANDA ZA JUU KUSINI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA
MENEJA MASOKO MKOA WA MBEYA  ERICK PALLANGYO AKIELEZEA KWA UFUPI JINSI ZAWADI HIZO ZA AMSHA MAISHA YAKO NA COCA COLA ZINAVYOTOLEWA NA KAMPUNI HIYO
MENEJA MAUZO NA MASOKO MKOA WA MBEYA  VEKARIA JAYANTI 
MENEJA MAUZO NA MASOKO MKOA WA MBEYA  VEKARIA JAYANTI AKIMKABIDHI KITITA CHA SHILINGI LAKI TANO  JOHN NGAWANYA MKAZI WA IRINGA BAADA YA KUSHINDA SHINDANO LA AMSHA MAISHA YAKO NA COCA COLA
MENEJA MAUZO NA MASOKO MKOA WA MBEYA  VEKARIA JAYANTI  AKIMKABIDHI MFANO WA HUNDI NA KITITA CHA SHILINGI MILIONI MOJA FRANK JOHN MKAZI WA RUKWA BAADA YA KUBAHATIKA KATIKA SHINDANO HILO

MENEJA MAUZO NA MASOKO MKOA WA MBEYA  VEKARIA JAYANTI  AKIMKABIDHI MFANO WA HUNDI NA KITITA CHA SHILINGI MILIONI MOJA RAHIM MWANUKA MKAZI WA IRINGA BAADA YA KUBAHATIKA KATIKA SHINDANO HILO

MENEJA MAUZO NA MASOKO MKOA WA MBEYA  VEKARIA JAYANTI  BAADA YA KUMKABIDI PIKIPIKI KIJANA ALEX MTWEVE AKIWA AMEPAKIWA NAKIJANA HUYO
MENEJA MAUZO NA MASOKO MKOA WA MBEYA  VEKARIA JAYANTI  AKIMKABIDHI FUNGUO NA PIKIPIKI  KIJANA ALEX MANGA TOKA SONGEAPICHA NA MBEYA YETU

Post a Comment

 
Top