Menu
 

Mtayarishaji bora wa Muziki Bongo MANECKY kutoka AM RECORDS amewataka Watayarishaji wanaochipukia kwa sasa katika gemu la Muziki wa Kizazi Kipya kuwa wabunifu ili kujitofautisha na Maproducer wakongwe ili kujitengenezea sifa ya mapinduzi.

Akipiga na Stori na Chumba Cha Sindano kupitia Kipindi cha Kali za Bomba hapa Bomba FM 104.0MHz Mbeya alikuwa na haya ya kusema...
BOFYA HAPA CHINI KUMSIKILIZA.

Post a Comment

 
Top