Menu
 Yakuza Mob Crew Member MBWANA HAMISI amekanusha kuwa hawana ugomvi wowote baina yao na Hitmaker wa LATIFA, SI ULINIAMBIA na nyinginezo MB DOG, bali majukumu ya kibiashara yawewafanya kuwa tofauti si kama ilivyodhaniwa kuwa hawana maelewano yoyote. BOFYA HAPA KUMSIKILIZA
 Akipiga stori na Chumba Cha Sindano katika Kipindi cha Kali za Bomba hapa Bomba FM 104.0MHz Mbeya MBWANA HAMIS ameweza kuzungumzia nini kiliwasukuma kufanya COLLABO ya MAWASILIANO na Gwiji wa Muziki wa dance nchini KOMANDO HAMZA KALALA ambaye ni Baba mzazi wa KALALA JUNIOR na KITOKOLOLO na vile vile ujio wa kazi zao na nyingine ambazo zimeshatoka..
BOFYA HAPA KUMSIKILIZA

Hata hivyo akaweka wazi chimbuko la kundi lao na namna gani wamekuwa wakifanya kazi bila kukorofishaba kama yalivyo makundi ya wasanii wengine.
 BOFYA HAPA KUMSIKILIZA

Post a Comment

 
Top