Menu
 

 
Baada ya kuacha historia kwenye jukwaa la MTV VMAs kwa ku-twerk mwezi August, Miley Cyrus amefanya vituko vingine kwenye jukwaa la MTV VMAs Jumapili (November 10) baada kuvuta marijuana wakati akipokea tuzo yake ya Video bora ya mwaka ya wimbo wake ‘Wrecking Ball’.

Akiwa ndani ya mavazi meupe, Miley Cyrus alipanda jukwaani akapokea tuzo yake na kusema “I couldn’t fit this award in my bag, but I did find this..” Hapo akatoa marijuana kwenye mkoba wake akapiga puff moja, akamalizia “So thank you guys very much.”

BOFYA HAPA KUTAZAMA PICHA NA VIDEO http://www.bongoclantz.com/2013/11/huyu-ndo-msanii-kutoka-marekani.html

Post a Comment

 
Top