Menu
 

Picha na Maktaba ya XDEEJAYZ BLOGU.
****
Hitmaker wa Dua la kuku NAS B amesema  kukosa menejimeti ya kudumu katika shughuli zake za kimuziki kumesababisha yeye kushindwa kutoa nyimbo mara kwa mara.

Akipiga stori na Chumba Cha Sindano kupitia kipindi cha Kali za Bomba cha Kituo cha Bomba FM 104.0MHz Mbeya NAS B amesema muziki sasa umekuwa wa kibiashara tofauti na zamani..
Bofya hapa kumsikiliza zaidi.

Katika hatua nyingine NAS B amezungumzia kuhusu staili ya muziki ambayo anaifanya ambapo amesema dunia nzima muziki unakuwa unafanana lakini inategemea na kila mtu anafanya idea gani katika nyimbo zake.
 Bofya hapa kumsikiliza zaidi.

Post a Comment

 
Top