Menu
 Hitmaker wa Maisha ni Watu VUMBE WA K TOWN ameeleza ya kuwa kila afanyapo jambo lolote linalohusiana na muziki huwa aachia kumkumbuka marehemu LOI BUKUKU, kutokana na kumweleza ukweli asiwe na haraka ya kutoka kimuziki hivyo avute subira kwa kufanya mazoezi kama kuimba na kuandika mashairi yenye tija akiamini kuwa ndio msingi mzuri wa kuendana na soko la ushindani katika gemu la muziki wa kizazi kipya.

Akiga stori na Kipengele cha Kona ya Sanaa kupitia Kipindi cha Kali za Bomba cha redio Bomba FM 104.0MHz Mbeya, msanii huyo ameanza kwa kuelezea histori yake toka kuzaliwa kwake mpaka alipo sasa ni chngamoto gani na afaida zipi amezipata.....
Bofya hapa chini kumsikiliza zaidi.

Post a Comment

 
Top