Menu
 

Mcheza filamu za kibongo Riyama Ally amesema anauwezo wa kulia kwa hisia kwenye filamu lakini hamfikii Wastara Sajuki kwani yeye ulia zaidi.


Riyama ameyasema hayo baada ya kuweka picha kwenye mtandao wa “instagram“akiwa na Wastara nakutaka watu wachangie picha hiyo ambapo kila shabiki alivutia upande wa msanii anaempemda


“mimi nalia ila wastara analia zaidi ila mashabiki wataamua nani mshindi binafsi na mueshimu sana wastara na ipo siku nitafanya nae kazi“


Kwa upande wake Wastara na yeye aliweka picha hiyo kwenye mtandao huo huo wa “instagram“nakutaka mashabiki waamue ambapo hali ilikuwa sawa na kwa Riyama ampako kila mtu alimtaja msanii wake Wastara badae alisema anamkubali Riyama kwani ni msanii anejituma na kufanya kazi kwa bidii pia amefurai mashabiki walivyokua wanachangia kwenye picha hiyo

By http://wastarasajuki.blogspot.com/

Post a Comment

 
Top