Menu
 Kwa mujibu wa trailer ya season ya tisa , mashabiki mwa reality tv show watapata kuona kipande kidogo cha nyumba mpya ya Kanye na Kim pamoja na jinsi ambavyo kanye alimvisha pete ya uchumba kim.

japo clip inayoonesha kanye akimvisha pete kim ilishavuja na kuna habari kuwa wamepanga kumshitaki mtu alie record na kuvujisha video hiyo lakini huonenda camera za  ‘Keeping Up with the Kardashians.’ Zikaonesha kila upande wa tukio zima .
Drama zingene tunazotarajia kuziona kwenye  season nine ya ‘Keeping Up with the Kardashians.’ni pamoja na mwisho wa ndoa ya mama yake Kim Kris  na mumewe Bruce Jenner lakini pia tutaona ishu ya mume wa mdogo wake Kim ambaye ni star wa NBA Lamar Odom kuhusu kuwa na addiction ya madawa ya kulevya.
season  mpya ya  ‘Keeping Up with the Kardashians’ itaanza kuruka 2014.
Tizama  trailer hapo chini 


Post a Comment

 
Top