Menu
 


Mwanamuziki kiuno bila mfupa Ray C amempa makavu pamoja na ushauri nasaha aliyekuwa mpenzi wake rapa Lord Eyez ambaye inasemekana ndio alimuingiza kwenye matumizi ya madawa ya kulevya na kumfanya apoteze muelekeo.Kupitia mtandao wa Instagram Ray C aliweka picha ya Lord Eyez akiwa chini ya ulinzi wa polisi na kufunguka haya;Post a Comment

 
Top