Menu
 
TAZAMA VIDEO YENYE UBUNIFU WA KIPEKEE KUTOKA KWA MSANII FRAGA.
TAZAMA VIDEO YENYE UBUNIFU WA KIPEKEE KUTOKA KWA MSANII FRAGA.

Msanii wa bongo flava na producer kutoka studio za Uprise Music jijini Dar es salaam,Tanzania anayejulikana kwa jina la Fraga amejip...

Read more »

BREAKING NEWS: LIVE MUDA HUU, WAANDISHI WA HABARI WA JIJI WAHAMASIKA BAADA YA MBEYA YETU BLOG PAMOJA NA BOMBA FM RADIO KUKARABATI KIPANDE CHA BARABARA BLOCK T
BREAKING NEWS: LIVE MUDA HUU, WAANDISHI WA HABARI WA JIJI WAHAMASIKA BAADA YA MBEYA YETU BLOG PAMOJA NA BOMBA FM RADIO KUKARABATI KIPANDE CHA BARABARA BLOCK T

Hivi ndivyo Barabara ilivyokuwa kabla Waandishi wa Jiji wakiwa wamefika kuwashangaa wenzao wakiwa wanafanya kazi ya kutejenga Ta...

Read more »

MAMA WANNE APELEKWA KATIKA KITUO MAALUMU NA WATOTO WAKE WAWILI WALIOBAKI KWA AJILI YA UANGALIZI.
MAMA WANNE APELEKWA KATIKA KITUO MAALUMU NA WATOTO WAKE WAWILI WALIOBAKI KWA AJILI YA UANGALIZI.

Na Ezekiel Kamanga. UONGOZI wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya kupitia kitengo cha Ustawi wa jamii  umemtafutia kituo cha kulelea watoto wa mit...

Read more »

Askari wafikishwa mahakamani Mbeya
Askari wafikishwa mahakamani Mbeya

Na Venance Matinya, Mbeya. ASKARI wa Jeshi la Polisi na raia mmoja wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Wilaya ya Mbeya wakituhumiwa kwa makos...

Read more »

FERGUSON ATAHUSIKA TENA KUTEUA KOCHA MPYA MANCHESTER UNITED.
FERGUSON ATAHUSIKA TENA KUTEUA KOCHA MPYA MANCHESTER UNITED.

Sir Alex Ferguson Duru zinasema kuwa Sir Alex Ferguson,atahus...

Read more »

Breaking News... Ajali ya magari ya mizigo yaua Mbeya
Breaking News... Ajali ya magari ya mizigo yaua Mbeya

Ajali ya magari ya magari matatu ya mizigi imetokea Vwawa Wilaya Mbozi mkoani Mbeya imesadikika dereva wa gari aina ya tipa  ...

Read more »

Chelsea huenda ikafaidika na kiasi cha paund million 6, endapo itapangwa na klabu ya Atletico Madrid.
Chelsea huenda ikafaidika na kiasi cha paund million 6, endapo itapangwa na klabu ya Atletico Madrid.

Klabu ya Chelsea huenda ikafaidika na kiasi cha paund million 6, endapo itapangwa na klabu ya Atletico Madrid katika hatua ya nusu faina...

Read more »

TIMBWILI LAZUKA BAADA YA VIONGOZI WA SERIKALI KULA PESA ZA WANACHI.
TIMBWILI LAZUKA BAADA YA VIONGOZI WA SERIKALI KULA PESA ZA WANACHI.

Mwenyekiti wa Mtaa wa Mapelele kata ya Ilemi, jijini Mbeya anashtumiwa kwa kutafuna pesa shilingi 1,300,000 zilizochangwa na wananchi ...

Read more »

Kumekucha ndani ya Klabu ya Simba Sc.
Kumekucha ndani ya Klabu ya Simba Sc.

Katibu Mkuu wa Klabu ya Simba Sc, Ezekiel Kamwaga. **** Kamati ya uchaguzi ya klabu ya Simba leo inatarajia kukutana chini ya mwen...

Read more »

BARCELONA, MAN U ZAFUNGASHIWA VIRAGO UEFA.
BARCELONA, MAN U ZAFUNGASHIWA VIRAGO UEFA.

MANCHESTER United ya England imeaga Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kufungwa mabao 3-1 na wenyeji Bayern Munich Uwanja wa Allianz-Arena m...

Read more »

Makodakta wameshtumiwa kwa kusababisha ajali zisizo za lazima kutokana na kuendesha vyombo vya moto bila leseni.
Makodakta wameshtumiwa kwa kusababisha ajali zisizo za lazima kutokana na kuendesha vyombo vya moto bila leseni.

Makodakta wa magari ya abiria yaendayo Mji mdogo wa Mbalizi wilaya ya Mbeya Vijijini wameshtumiwa kwa kusababisha ajali zisizo za lazima ...

Read more »

KEMEA VITENDO VYA MADEREVA KUZUNGUMZA NA SIMU PINDI WAENDESHAPO VYOMBO VYA MOTO
KEMEA VITENDO VYA MADEREVA KUZUNGUMZA NA SIMU PINDI WAENDESHAPO VYOMBO VYA MOTO

Abiria wa magari ya usafirishaji yaendayo pembezoni mwa Jiji la Mbeya wamelalamikia tabia ya madereva hao kuzungumza na simu pindi waendesh...

Read more »

MTENDAJI WA KIJIJI NA HALMASHAURI YA KIJIJI WATIMULIWA KIJIJI CHA IWIJI KWA UFUJAJI WA MBOLEA ZA RUZUKU
MTENDAJI WA KIJIJI NA HALMASHAURI YA KIJIJI WATIMULIWA KIJIJI CHA IWIJI KWA UFUJAJI WA MBOLEA ZA RUZUKU

Kushoto Afisa tarafa Aaron Sote akipokea funguo toka kwa mtendaji Anton Ndisa  Afisa Kilimo wilaya Marselin Mlelwa atitoa takwimu...

Read more »

Baba ahukumiwa miaka 65 jela kwa kumsababishia mwanae ujauzito.
Baba ahukumiwa miaka 65 jela kwa kumsababishia mwanae ujauzito.

MAHAKAMA ya wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya jana(Machi 31) imemhukumu kutumikia kifungo cha jumla ya miaka 65 jela mkazi wa mtaa wa Uhamila...

Read more »
 
Top