Menu
 Msanii wa bongo flava na producer kutoka studio za Uprise Music jijini Dar es salaam,Tanzania anayejulikana kwa jina la Fraga amejipanga vizuri na kuachia audio na video ya ngoma yake inayokwenda kwa jina la 'Kupatia'.

Katika ngoma hii jamaa anelezea mpenzi ambaye ana tabia ya kulinganisha mambo anayomfanyia mpenzi wake wa sasa na yale aliyofanyiwa na mpenzi wake wa zamani.

Mwanamke huyu anaona kama kila jamaa anachokifanya si kipya kwake kwa sababu mpenzi wake wa zamani ashawahi fanya hivyo dizaini kama jamaa hajawahi kupatia hata jambo moja kwa sababu anaonekana kama hana jipya.

Video hii imebeba stori ya ngomahii.

Itazame hapa chinihttp://youtu.be/9_bVS_SgF3w

Post a Comment

 
Top