Menu
 

Leo ndio mwisho wa upigaji wa kura kabla ya mchakato wa kupiga kura kufungwa. Bado unaweza kuniwezesha mimi na kipindi cha Hatua tatu kuibuka mshindi kwa kupiga kura zako nyingi kabisa maana gharama ya sms ni ya kawaida andika TZW1 MARYAM kwenda 15678 na TZW2 HATUA TATU kwenda 15678 au piga kura online www.tuzozetu.com/vote Sapoti yako inahitajika ili kufanikisha ushindi. #TuzoZaWatu #VoteForMaryam #VoteForHatuaTatu.

Post a Comment

 
Top