Menu
 


Sina neno kubwa zaidi ya AHSANTE kwa kila Kampuni/Mdau aliyeguswa na ujio wa mixtape ya LIL STIGGAR iitwayo RISE & SHINE na kukubali kudhamini Event hii kubwa katika maisha yangu.
Napata nguvu na kuamini katika kile ninachofanya, Ahsante sana Mashabiki zangu kwa kuniombea mema ili kuyafikia mafanikio. 

Milango iko wazi kwa yeyote anayehitaji kushiriki nasi kama mdhamini, wasiliana nasi kupitia 0654079930.
Nb:- Fursa ni hii tumia nafasi hii kutangaza biashara yako katika event ya Mixtape ya LIL STIGGAR iitwayo RISE & SHINE.

Post a Comment

 
Top