Menu
 

Huu ni wimbo mpya wa Greyson Salufu Chatanda aka Chris Bee ambaye mbali na kufanya muziki pia ni mtangazaji na Dj kutoka Bomba FM Mbeya.

Katika wimbo huu ‘Wala’uliotayarishwa kwenye studio za Uprise Music na producer Fraga De Pro, Chris Bee amewashirikisha G Sacha & Sylvia.


BOFYA HAPA CHINI UWEZE DOWNLOAD NA KUSIKIZA


Post a Comment

 
Top