Menu
 

C.E.O & Producer wa Studio za UPRISE MUSIC kutoka jijini Dar es Salaam, James Lillai a.k.a DUPY au Kono la Chuma, ambaye anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa Julai 31 ya kila mwaka, ametangaza Ofa endelevu ya Beat mbili iwe ya Rap/Kuimba nk. Kupitia kipindi cha Bomba Base Show cha Redio BOMBA FM 104.0MHz cha Mbeya amefunguka kwa kina.

Chukua dakika 10 za kumsikiliza Producer Dupy ambaye sasa ni gumzo katika gemu la muziki wa Kizazi kipya Afrika Mashariki. Zoezi linaanza saa 11 kamili jioni.


 
Top