Menu
 


Meneja wa Chelsea Jose Mourinho inaarifiwa amempigia simu kiungo wa Real Madrid Sami Khedira kujaribu kumshawishi mchezaji huyo wa Ujerumani kwenda Darajani badala ya Arsenal, limesema shirika la habari la ABC, na kukaririwa na Goal.com. 

Wakati huohuo mshambuliaji wa AC Milan Mario Balotelli huenda akabakia Italia licha ya kufuatiliwa na Arsenal na Liverpool. 

  Mchezaji huyo wa kimataifa wa Italy amesema yuko tayari kuungana na kikosi kizima katika mechi za kabla ya kuanza msimu nchini Marekani, kwa mujibu wa Daily Mirror.

Credit;- Salim Kikeke
 
 Kupata uhondo wakutembelea Bofya Hapa

Post a Comment

 
Top