Menu
 Wakazi wa Chunya mpo tayari, Msanii SUMA MNAZALETI a.k.a Mkali wa Chukua Time anadondoka huko katika msimu huu wa Nanenane Show ya kwanza ni pale Makongolosi Tarehe 7/8/2014 katika Ukumbi wa DAUDI Mkongoma almaarufu kwa jina la DO, Show ya pili ni Matundasi katika ukumbi wa Hamisi Choga Na tarehe 9/8/2014 ni Itumbi katika ukumbi wa Elyeza Kabwebwe.

 Imeletwa na WATUNDU ENTERTAINMENT chini ya udhamini wa M.B.M Mjasiriamali wapo Jengo la Malaika wa Mbinguni Matundasi, SELEMAN MATELEPHONE yupo Mtaa wa Kariakoo ndogo Matundasi, KING MBAKI WAKALA a.k.a Super Wakala wa mitandao yote ya simu, yupo karibu na Zahanati Matundasi.

Kwanini ukose aaaaaah!! Utachekwaaaa……….
 
Top