Menu
 Rapper wa Kike kutoka Tanzania Corrine Mary a.k.a Cindy Rulz ameteuliwa kuwania tuzo za Underground Music Awards UMA's za nchini Marekani

 SWAHILI:- Kumpigia kura Cindy Rulz katika Tuzo za UMAs katika kipendelecha Best International Artist bofya link hii  http://www.yoraps.com/uma2014/best_international_artist.html
or simply log on to www.undergroundmusicawards.com


"Please vote for me for the UMAs as Best International Artist via the link http://www.yoraps.com/uma2014/best_international_artist.html or simply log on to www.undergroundmusicawards.com


Cindy Rulz ndiye msanii pekee wa kike aliyetajwa kuwania tuzo hizo mwaka huu katika kipengele cha ‘Best International Artist’ akichuana na Joe Young, Apollo &Escobar na Fill Straughan.

Tuzo hizo zimelenga katika kuutambua mchango wa watayarishaji wa muziki, wasanii na waandishi wa nyimbo wasiofanya kazi chini ya label.
Bofya hapa kumsikilizaCINDY RULZ akizungumzia.


 
Top