Menu
 

Nimeamua kuandika walaka huu wenda ujumbe utawafkia mtabadilika,baadhi ya vijana wa mbagala acheni usela mavii! Ndo maana mbagala atuendelei sababu ya watu nyinyi mlioshindikana kwenu.

Nasema haya yote coz nmeshuudia kwa macho yangu baada ya show ya YAMOTO BAND kuisha pale dar live.nimetoka njeee nikaona vijana wengi wanategea madada wanao toka ndani Dar Live na kuanza! Kuwapora,kuwachania nguo,kuwafanyia vitendo ambavyo ata wange fanyiwa dada zao wasinge furai kabisa.

 Nmeamua nitoe ya moyoni coz imeni touch kinamna moja ama nyingine! Pia ulinzi wa ukumbi wa dar live auna msaada wowote!

Atakusema bac japo waite polisi kuja japo kuimarisha ulinzi!Walichofanya wao nikukaaa na kutazamaaa madada wa watu wanavyo dhalilishwa!

Wito wangu kwa baadhi ya vijana wa mbagala waache usela mavi!! Wenzao wametoka kufurai! Kwann wawafanyie unynyasaji kama huo ni hayo tu!! Vijana badilkikeni! Ikikugusa like, comment and share
By FRAGA DE PRO.. 
Top