Menu
 
NEW SONG:- FOREVER - SAUTI FROM EAST
NEW SONG:- FOREVER - SAUTI FROM EAST

Sauti from east Forever [Chris Daniel] I know, what makes you sad. I know what makes you cry. I know, co...

Read more »

FROLA MVUNGI a.k.a H MAMA ADAI MWANAE TANZANITE ANALELEWA KATIKA MISINGI BORA KAMA INAYOTAKIWA MTOTO KULELEWA.
FROLA MVUNGI a.k.a H MAMA ADAI MWANAE TANZANITE ANALELEWA KATIKA MISINGI BORA KAMA INAYOTAKIWA MTOTO KULELEWA.

Mwanamuziki na Mwigizaji wa Filamu nchini Frola Mvungi ambaye jina la kisanii kupitia muziki anafahamika kama H MAMA ameipongeza famil...

Read more »

RICH MAVOKO ASEMA UKUBWA WA VIDEO YA PACHA WANGU IMEMSAIDIA KUPATA COLLABO NA WASANII WA KIMATAIFA
RICH MAVOKO ASEMA UKUBWA WA VIDEO YA PACHA WANGU IMEMSAIDIA KUPATA COLLABO NA WASANII WA KIMATAIFA

Hitmaker wa Pacha Wangu Rich Mavoko amesema ukubwa wa wimbo huo na video yake imemfungulia milango ya kufahamika na kufanya collaborat...

Read more »

BONTA SISIKIKI KATIKA NYIMBO ZA WEUSI KUTOKANA NA MAJUKUMU YA UDAKTARI
BONTA SISIKIKI KATIKA NYIMBO ZA WEUSI KUTOKANA NA MAJUKUMU YA UDAKTARI

Rapper Bonta amesema mashabiki wanapaswa kufahamu sisikiki kupitia ngoma za Weusi kwa sababu huwa nakuwa nipo kwenye majukumu ya ndani...

Read more »

Chiku Keto amesema haelewi sababu za Mameneja wengi sasa hivi kutokuwa tayari kuwasimamia baadhi ya wasanii wanao-rap.
Chiku Keto amesema haelewi sababu za Mameneja wengi sasa hivi kutokuwa tayari kuwasimamia baadhi ya wasanii wanao-rap.

Rapper Chiku Keto amesema haelewi sababu za Mameneja wengi sasa hivi kutokuwa tayari kuwasimamia baadhi ya wasanii wanao-rap. ...

Read more »

SAMIR KUIRUDIA STYLE YA KINYULINYULI BAADA YA KUKOSA MASHABIKI
SAMIR KUIRUDIA STYLE YA KINYULINYULI BAADA YA KUKOSA MASHABIKI

Mwanamuziki Samir wa Kinyulinyuli amekiri kupoteza mashabiki baada ya kubadili miondoko na maudhi ya nyimbo alizozifanya baada ya Kiny...

Read more »

DULLAYO:- MUZIKI WA BONGO UNALIPA NDIO MAANA WASANII WANAENDA KUFANYA VIDEO NA NYIMBO AFRIKA KUSINI
DULLAYO:- MUZIKI WA BONGO UNALIPA NDIO MAANA WASANII WANAENDA KUFANYA VIDEO NA NYIMBO AFRIKA KUSINI

Hitmaker wa Mida ya Kazi DULLAYO amesema muziki wa Bongo Fleva tuliokuwa tunaupigania ukue kimataifa ndio huu na matunda yake yameanza...

Read more »

WITNESS:- MSANII WA KIKE UKITAKA KUFANYA HIPHOP KAMA MWANAUME UNAFELI
WITNESS:- MSANII WA KIKE UKITAKA KUFANYA HIPHOP KAMA MWANAUME UNAFELI

Rapper WITNESS amesema wasanii wengi wa kike wanaofanya muziki wa Hiphop wanafeli kutokana na kutaka kufanya hiphop kama mwanaume. ...

Read more »

DAYNA NYAGE AELEZEA SABABU YA KUTOFANYA COLLABO NA MSANII WA ZAMANI WA KUNDI LA BLU 3 AITWAYE CINDY
DAYNA NYAGE AELEZEA SABABU YA KUTOFANYA COLLABO NA MSANII WA ZAMANI WA KUNDI LA BLU 3 AITWAYE CINDY

Mwaka 2014 ulikuwa ni mwaka wa mipango kwa msanii Dayna Nyage kufanya collabolation na msanii Cindy kutoka nchini Uganda lakini mipango h...

Read more »

Kassim Mganga awaomba radhi mashabiki wake kwa kuchelewa kuiachia video ya wimbo ya I love u
Kassim Mganga awaomba radhi mashabiki wake kwa kuchelewa kuiachia video ya wimbo ya I love u

Hitmaker wa 'I Love U' Kassim Mganga awaomba radhi mashabiki wake kwa kuchelewa kuiachia video ya wimbo ya I love u kutokana na ...

Read more »

TIMBULO AZUNGUMZIA SABABU ZA KUSHINDWA KUOA NA KUFUNGA NDOA MWAKA JANA.
TIMBULO AZUNGUMZIA SABABU ZA KUSHINDWA KUOA NA KUFUNGA NDOA MWAKA JANA.

Mwaka 2014 ulikuwa ni wakati muafaka kwa hitmaker wa Nakumis Mis Timbulo kuuaga ukapela, na huenda ukawa na maswali mengi ni kikwazo g...

Read more »

MAUA SAMA DAI UKATA NA KUBANWA NA MAJUKUMU YA CHUO NDIO SABABU ZA KUTOFANYA VIDEO YOYOTE YA NYIMBO ZAKE
MAUA SAMA DAI UKATA NA KUBANWA NA MAJUKUMU YA CHUO NDIO SABABU ZA KUTOFANYA VIDEO YOYOTE YA NYIMBO ZAKE

Hitmaker wa So Crazy Maua Sama amesema ukata na kubanwa na majukumu ya masomo chuoni ndio sababu kuu zilizochangia kutotoa video yoyote y...

Read more »

MSANII PINGU ADAI HANA BIFU NA VIONGOZI WA TIPTOP CONNECTION MAMBO YAKIMUENDEA MRAMA ATARUDI
MSANII PINGU ADAI HANA BIFU NA VIONGOZI WA TIPTOP CONNECTION MAMBO YAKIMUENDEA MRAMA ATARUDI

Msanii wa zamani wa kundi la Tiptop Connection Pingu amesema hana bifu yoyote na viongozi wa kundi hilo Abdu Bonge, Babu Tale wala Madee ...

Read more »

AT KUMTAMBULISHA MDOGO WAKE VANILLA JANUARI 15 KUPITIA NGOMA YA MAMA MAMIE
AT KUMTAMBULISHA MDOGO WAKE VANILLA JANUARI 15 KUPITIA NGOMA YA MAMA MAMIE

Mwanamuziki wa miondoko ya miduara nchini Tanzania AT anatarajia kumtambulisha mdogo wake aitwaye Nasir lakini jina la kisanii ni Vanilla...

Read more »

FAMILIA YA ZALLAH ORGANS KUJA NA SIOGOPI INAYOASA WATU KUTOKATA TAMAA NA MAISHA.
FAMILIA YA ZALLAH ORGANS KUJA NA SIOGOPI INAYOASA WATU KUTOKATA TAMAA NA MAISHA.

Kundi la Zallah Organs ns lenye Maskani yake jijini Mwanza linakuja na iitwayo "Siogopi" iliyopikwa katika studio za &quo...

Read more »

PRODUCER LAMAR:- SIFULIA WALA KUISHIWA UBUNIFU ILA SINA MAMLAKA YA KUTOA WIMBO ZA MSANII YEYOTE BILA RIDHAA YAKE.
PRODUCER LAMAR:- SIFULIA WALA KUISHIWA UBUNIFU ILA SINA MAMLAKA YA KUTOA WIMBO ZA MSANII YEYOTE BILA RIDHAA YAKE.

Mtayarishaji wa Muziki wa Kizazi kipya LAMAR ameweka wazi kuwa hajaishiwa ubunifu katika utayarishaji wa muziki lakini amefanya kazi n...

Read more »

AT ADAI WASANII WANAOENDA KUSHOOT VIDEO ZAO AFRIKA KUSINI NI WASHAMBA
AT ADAI WASANII WANAOENDA KUSHOOT VIDEO ZAO AFRIKA KUSINI NI WASHAMBA

Mkali wa miondo ya Miduara nchini AT amesema wasanii watazania wanaokimbilia kufanya video za nyimbo zao Afrika Kusini ni malimbukeni ...

Read more »

MABESTE KUACHIA WIMBO UNAOWALENGA WAZAZI.
MABESTE KUACHIA WIMBO UNAOWALENGA WAZAZI.

Rapper Mabeste, Januari hii anatarajia kuachia ngoma mpya iitwayo 'Usiwe Bubu' yenye funzo kwa wazazi kuwa karibu na watoto wa...

Read more »

STEREO ADAI ANAIMANI  AY NA UNITY ENTERTAINMENT ITAMFIKISHA KIMATAIFA
STEREO ADAI ANAIMANI AY NA UNITY ENTERTAINMENT ITAMFIKISHA KIMATAIFA

Rapper STEREO amedai anamtegemea zaidi bosi wake   na Rapper AY kukamilisha ndoto zake za kujitangaza kimataifa na kufanya collabo na ...

Read more »
 
Top