Menu
 Kundi la Zallah Organs ns lenye Maskani yake jijini Mwanza linakuja na iitwayo "Siogopi" iliyopikwa katika studio za "Overclassic Music" chini ya mkono wa producer "Daydream"

Akiizungumza ngoma ya Siogopi kupitia kipindi cha Bomba Base Show cha redio Bomba FM Mbeya mmoja wa members wa kundi hilo Kulwa Bung'ando a.k.a Goliath amesema “Siogopi ni ngoma inayozungumzia hali kutokukata tamaa, pia kukemea watu wenye tabia za kusemasema wenzao ili wawafelishe au kuwarudisha nyuma kimaendeleo"

Kundi la Zallah Organs linaundwa na wasanii wafuatao ambao ni Kulwa Bung'ando a.k.a Goliath , Herman Julius a.k.a Pap Herode na Gregory Mabina a.k.a Bagrey Escariote.
 
Top