Menu
 

Mfanyabiashara tajiri zaidi kutoka Afrika anapanga kupanda dau la kuinunua klabu ya Arsenal. 

Bilionea huyo wa Nigeria, Aliko Dangote anaamini kuwa kwa kujenga kituo cha kusafisha mafuta nchini mwake atapata fedha za kutosha kuinunua klabu hiyo ya London. 

Dangote, 58, ambaye ana utajiri unaokadiriwa kuwa pauni bilioni 11.5, amekuwa shabiki wa Arsenal tangu miaka ya 1980. 

"Nikimaliza kiwanda hiki cha kusafisha mafuta, nitakuwa na muda na uwezo wa kulipa kila wanachokitaka, " ameiambia BBC Idhaa ya Kihausa. 

"Klabu hiyo inafanya vizuri, lakini wanahitaji mwelekeo zaidi kuliko hali ilivyo sasa, ambapo wanajenga tu wachezaji na kuwauza."

 Hellow My Friend please Download this song goes by the name COCONUT from CHRIS BEE ft FRAGA Produced by FRAGA (Uprise Music). Click this link  https://mkito.com/song/coconut/14689
 
Top