Menu
 

Kama ulikosa kusikiliza Chumba Cha Sindano katika kipindi cha Bomba Base Show cha redio Bomba FM Mbeya wakati Mwanadada mwenye mvuto anayekuja kwa kasi sasa katika tasnia ya Filamu nchini aitwaye Jack Chaz a,k,a Jacute/Prisca akizungumzia kuingizwa sokoni Juni 10 au 11 Filamu ya Prisca.

Vilevile utamsikia Amini akizungumzia sababu zilizochangia Video ya Nabaki nawe kuchelewa sambamba na Chibwa akizungumzia Collabo yake na Mfalme wa Dancehall/Raggae duniani Beenie Man.

SIKILIZA HAPA CHINI:-


 
Top