Menu
 

Siku chache baada ya Mtayarishaji wa Muziki(Producer) kutoka nchini Tanzania aitwaye FRAGA kufanya kazi na wasanii wawili kutoka nchini Nigeria waitwao PAPA na SELEBOBO baada ya kuwatengenezea beat au mdundo wa ngoma yao ya OGA THOMAS REMIX iliyotayarishwa katika studio za UPRISE MUSIC EMPIRE. Producer Fraga amezitaja ngoma 10 alizozitengeneza kuanzia mwezi Januari hadi Julai 2015 na zinazowakilisha kwa sasa

PRODUCER FRAGA:-
#‎HII‬ NI ORODHA YA NGOMA NILIZO ‪#‎PRODUCE‬ KUANZIA MWEZI WA 1 MWAKA HUU MPAKA SASA NA ‪#‎ZIMEWAKILISHA‬ VYEMA @uprise_music_empire KWENYE MEDIA ‪#‎TOFAUTI‬ NDANI NA NJE YA ‪#‎TANZANIA‬....
1:- Sijazoea by AT
2:- Mkazurure by Flora Mvungi(H MAMA)
3:- Sandakalawe by Masia
4:- Tujibanebane by Smile
5:- Oga Thomas remix by Papa ft Selebobo
6:- Nimetulia nae by Asia Mjuni
7:- Coconut by Chriss bee ft Fraga
8:- Wanapepeta by Ally Nipishe
9:- Sina Bahati by Masia ft Fraga....
10:- Njoo Ujionjee by Sam Flavour

‪#‎Shukuran‬ za dhati zikufikie wewe mdau wa @uprise_music_empire....wewe unayependa mziki ‪#‎mzurii‬.....tegemea vitu vingi na vizuri kutoka @uprise_music_empire...‪#‎dunianzima_promo‬
@dupy_beatz
@at_original @chrisbeeofficial @smilethegenius @florahmvungi_online_adverts @allynipishe5 @papa9ja @ayoubmasia @samflavour_kipesile @jabirsaleh @uniquekisaka @adamchomvu @millardayo @hassbabytz @djmwanga @globalpublishers @udaku_special @leomysteriotz @deddytz @godfred_goba @bwanamtui @laicahmodel85


CHANZO:- http://fragadepro.blogspot.com
 
Top