Menu
 


Rapper  Izzo Bizness “Izzo B” na hitmaker wa Shem Lake, amesema ubunifu ndio unaomfanya ngoma zake kuwa gumzo na kuibua misemo mbalimbali katika jamii.
 
  Akipepeta maneno kupitia kipindi cha Bomba Base Show  kinachoruka Redio Bomba FM ya jijini Mbeya, amedai kuwa siku zote huamini usemi wa “dalili ya mvua ni mawingu” na anaimani ngoma yake itafanya vizuri ndani na nje ya nchi.

Chukua nafasi ya kusikiliza mahojiano baina ya Rapper Izzo Bizness na mtangazaji Chris Bee.
Pakua ngoma mpya ya Izzo Bizness feat Mwana FA & G Nako - Shem Lake.
 
Top