Menu
 
 Mratibu wa Diva's Kanga Party Esther Nyasanga maarufu kwa jina la Dipha(Divah) akizungumza mbele ya wadau waliojitokeza kwa wingi kushuhudia na kusheherekea party hiyo katika Ukumbi wa GR Hotel iliyopo jijini Mbeya, kwa udhamini wa kinywaji cha K-Vant.
Diva's Kanga Party ikiendelea.
Baadhi ya wadau waliong'arisha Diva's Kanga Party katika Ukumbi wa GR Hotel iliyopo jijini Mbeya, kwa udhamini wa kinywaji cha K-Vant.
Baadhi ya Watu maarufu waliohudhuria katika Diva's Kanga Party katika Ukumbi wa GR Hotel iliyopo jijini Mbeya, kwa udhamini wa kinywaji cha K-Vant. Esther Nyasanga a.k.a Dipha ambaye ni Mratibu, na wasanii wanaofanya vizuri katika tasnia ya Filamu(Mbeya Movie) Issah Ngoda, Aisha Omary na Trice Beatrice.
Baadhi ya wadau waliong'arisha Diva's Kanga Party katika Ukumbi wa GR Hotel iliyopo jijini Mbeya, kwa udhamini wa kinywaji cha K-Vant.
Miongoni mwa warembo waliong'arisha Diva's Kanga Party.
Diva's Kanga Party ikiendelea.
Warembo waliong'arisha Diva's Kanga Party.
Baadhi ya warembo waliong'arisha Diva's Kanga Party kwa hisani ya K-Vant.
Baadhi ya warembo waliong'arisha Diva's Kanga Party kwa hisani ya K-Vant.
Diva's Kanga Party hakika alipendeza.
Baadhi ya warembo waliong'arisha Diva's Kanga Party kwa hisani ya K-Vant.
Ubunifu wa hali ya juu katika Diva's Kanga Party kwa hisani ya K-Vant. Dipha hakika ulipendeza.
Baadhi ya warembo waliong'arisha Diva's Kanga Party kwa hisani ya K-Vant. 
Top