Menu
 


14730519_225991261146824_6155924785101537280_n

Baada ya Diamond kufanikiwa kuibuka na ushindi wa tuzo tatu za Afrima 2016 zilizotolewa Jumapili iliyopita jijini Lagos, Nigeria mwanamuziki maarufu wa nchini Zimbabwe, Jah Prayzah ampongeza.

Kupitia mtandao wa Instagram, Jah Prayzah ameandika:
I wasn’t surprised my guy coz i know u deserve that recognition @diamondplatnumz. Am so proud of you and believe u me,you going far .. keep it up SIMBA of Africa.. @zarithebosslady @harmonize_tz @rayvanny
Jah Prayzah amewahi kumshirikisha Diamond kwenye wimbo wake wa ‘Watora Mari’ uliotoka mwezi Agosti mawaka huu na umefanikiwa kuwa wimbo wa kwanza kwa muimbaji huyo wa Zimbabwe kutazamwa mara nyingi zaidi ikiwa mpaka sasa umeshatazamwa zaidi ya mara milioni 2.7 kwenye mtandao wa Youtube.
 
Top