Kesho ni siku ya wapendanao, februari 14, na mwaka
huu 2017 katika mji wa Shanghai nchini China couple 77 za wanandoa wamejiingiza
katika mashindano ya 'kukiss' (kubusiana) ikiwa ni ishara ya kusherehekea siku
hiyo.
Unataka kufahamu kanuni ama sheria za kushiriki
mchezo huo? Sasa iko hivi, wanandoa hao wamepewa sharti la kufuata process ya
kubusu kutoka kwa waigizaji na miguu ya washiriki wa kike hayapaswi kuguza
chini.
Ili ushinde katika mchezo huo basi inatakiwa wewe na
mwenzi wako mkiss kwamuda mrefu zaidi.