Menu
 Hitmaker wa Depe Tupu Tundaman atamba kufanya vyema mwaka huu(2017) na matarajio yake ni kuachia ngoma 5 tu.


Kupitia The Splash ya Redio Ebony FM msanii Tundaman, ametangaza rasmi kubadilisha utaratibu wa kuachia ngoma zake ambapo awali kila mwaka alikuwa akiachia ngoma mbili tu.

“Kuna ngoma nimefanya na Yamoto nasubiria warudi kutoka Marekani ndio tuanze kushoot, kuna ngoma inaitwa Mwanaume Suruali ambayo nilimpisha Mwana FA aachie Dume Suruali kwa sababu kwa sababu zilikuwa idea zinafanana tulikaa chini tuka-discuss tukaona basi poa wewe achia ngoma hii mimi niachie Debe Tupu, then nitaachia mwanaume suruali baadae kuna ngoma nyingine nimefanya na Jaguar, kwa pamoja ni ngoma ambazo sijawahi kuzifanya naamini kila mtu ataridhika nazo” amesema Tundaman.
 
Top