Menu
 Ngoma hii ni mpya na ya pili katika Music Industry kutoka kundi la Madada 6 inaitwa Bakary imeandikwa na Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanae Said Fella a.k.a Mkubwa Fella na wasanii wawili kutoka Yamoto Band Beka Flava na Aslay chini ya utayarishaji wa Producer Shirko.

 
Top