Menu
 

Hii ni video ya mwanamuziki kutoka nchini Nigeria aitwae Papa Missp ambae ameshawahi kufanya vizuri na wimbo uitwao Oga Thomas akimshrikisha Selebobo.

Hivi karibuni Papa Missp alifanya ziara yake ya kimuziki nchini Tanzania, wimbo umetayarishwa na Producer mtanzania Fraga kutokea studio za Uprise Music na video imatayarishwa na Director wa kitanzania Ivan.
 
Top