Menu
 

Habari Njema ni kwamba Unaweza kuufanya Wimbo wa SAFARI kutoka kwa CHRIS BEE kuwa muito kwenye simu yako.....utakao mburudisha akupigiaye... Sasa njia ni rahisi Kama unatumia Mtandao wa TIGO tunaomba uende kwenye sehemu ya kutuma SMS andika kwa herufi kubwa R tuma kwenda 15050. Tunaomba Support yako mdau.

NB;- Tuma hetufi R kwenda namba 15050 

Pia unaweza kui-download hapa kwa ajili ya kuisikiliza.

Post a Comment

 
Top