Menu
 

TAFITI:- Mpaka sasa ndani ya Mwaka huu wa 2017.... Rapper na Mwimbaji G NAKO a.k.a Warawara ndie msanii pekee wa Bongo Flava(Tanzania) aliyesikika mara nyingi katika Ngoma za Bongo Flava za Kwake binafsi, za Weusi na Alizoshirikisha.
1. Madaraka ya Kulevya - Weusi
2. Lucky Me - G Nako
3. Nuru - G Nako
4. Go Low - G Nako ft Jux
5. Kila Wakati - Godzillah ft G Nako
6. Quality Time - Nick Wa Pili ft G Nako
7. Mfupi - Linah ft G Nako
8. Maole - Bele 9 ft G Nako
9. Naliamsha Dude - Weusi.
.
Mdau wewe unazikumbuka zipu zilizotoka kwa mwaka 2017?? Uwezo na Ubunifu aliuokuwa nao unampa asilimia ngapi??.

Post a Comment

 
Top