Menu
 

Baada ya Video ya SEDUCE ME ya Alikiba kuweka rekodi mpya, Nimefanya Mahojiano na Meneja wake aitwae Aidan Charlie Being, kupitia THE SPLASH ya EBONY FM ametaja Tarehe ya Kutoka kwa Wimbo Mpya wa Alikiba baada ya Seduce Me.

Taarifa hizo amezithibitisha baada ya kupost Kipande Kifupi cha Video wakionekana Studio na Alikiba pamoja na Producer Man Water na kuandika mzigo mpya umekamilika unatoka wakati wowote, Atoa shukurani kwa mashabiki wa Muziki wa Bongo Flava.

Bofya hapa kusikiliza Stori kamili kuhusu ujio huo mpya.

Post a Comment

 
Top