Menu
 

 DOWNLOAD HAPA CHINI


#DIVA ni Jina ambalo Mabinti au Wadada wengi wanapenda kulitumia, hasa wale Warembo na Maarufu(Celebrities).... Fact ni kwamba ni nzuri ila Point hii Hapaaaa, Jina hili lina asili ya Kilatini na maana yake ni Mungu wa Kike.

Asa kaa humuuu 👉👉👉#DIVA anaweza kuwa Mwanamke mwenye ushawishi Mkubwa kwa jamii, wakamsikiliza au Msanii Wakike wenye uwezo mkubwa wa kuimba au kuigiza.

 #DIVA anajiamini, anajiheshimu, mbunifu ni mtu wa fashion ""Hapitwi na Fashion"" lazima awe mjunzi wa jambo fulani (professional) kwa kile anachokifanya na pia anapenda ushindani #Diva analindwa na ujasiri, kipaji na heshima

Post a Comment

 
Top