Menu
 Mwanamuziki Alikiba mwenye rekodi kadhaa za kipekee kupitia muziki wake, anza mwaka kwa kujiweka karibu na mashabiki wake na safari hii Ziara yake ya FUNGUA MWAKA NA ALIKIBA inanzia Chato Mkoani Geita.

Kupitia ukurasa wake uliopo katika mtandao wa kijamii wa instagram, Alikiba ameshare taarifa ya ziara yake.

A post shared by alikiba (@officialalikiba) on

Post a Comment

 
Top