Menu
 Mwanamuziki Mkongwe wa BongoFlava H Mbizo, amefungua mwaka 2018 na kutoa zawadi kubwa kwa mashabiki wake na zamu hii kaja na Mchumba Remix akiwa kashirikiana na Mr Blue na kutayarishwa na Producer More FireGuy.

Ikumbukwe Original version ya Mchumba ilitoka mwaka 2004 na kutayarishwa na Producer mkongwe Said Comorien pale Metro Studio kwa wakati huo.

Miliki dakika zako chache kuusikiliza Wimbo Huu na amini utaupenda na hautojutia.

Post a Comment

 
Top