Menu
 Malkia wa Muziki wa Bongo Flava Tanzania Lady Jaydee, akanusha tetesi za kutaka kufunga ndoa na Msanii Spice kutoka Nigeria, ambae kashirikiana nae katika wimbo wa "Together Remix" na kuonekana tena katika video ya wimbo wa "Baby".

"Huwa sifahamu stori au maneno watu huwa wanatoa wapi, lakini kwa sababu huwezi kumzuia kufikiri au kutunga kitu unawaachia wa-enjoy endapo hiyo ndio furaha yao, sina mpango wakufunga ndoa any time" amesema Lady Jaydee kupitia The Splash ya Redio Ebony FM wakati akihojiwa na watangazaji Chris Bee na Fredoo Mbunji.....

Kwa sasa Lady Jaydee anatamba na Video ya ngoma yake iitwayo "Baby", ambayo waweza kuitazama hapa.


Post a Comment

 
Top