Menu
 


Alhamisi ya February 8, 2018 Staa wa Bongofleva Rais wa WCB Naseeb Abdul baba Tifa maarufu kama Diamond Platnumz na Mzazi mwenzie Hamisa Mobetto wamefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikiliza shauri lao la matunzo ya mtoto ambalo lilikuwa limefunguliwa mahakamani hapo.


Mtangazaji Nelly Be anakuletea simulizi ya kile kilichojiri mahakamani na nini kimeafikiwa baina ya mahakama dhidi ya Diamond Platnumz na Hamisa Mobetto juu ya malezi ya mtoto…

Post a Comment

 
Top