Menu
 

Msanii wa Uganda, Eddy Kenzo ameachia video ya wimbo wake mpya "Vaayo". Ngoma hii imetayarishwa na Producer Bless kutoka studio za Bless Touch na inapatikana kwenye Albamu ya Biology na idea nzima ya Vaayo inagusia masuala ya msoto na mafanikio.

Post a Comment

 
Top