Menu
 

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, KCEE ameachia video yake ya kwanza kwa mwaka 2018 ya wimbo wa ‘BURN’ ambayo amemshirikisha rapa kutoka Ghana, Sarkodie.

Video ya Burn imeongozwa na madirector wanaokuja kwa kasi nchini Nigeria Moses Inwang and Nic Rox na audio imetengenezwa na Blaq Jerzee.

Location ya video hii imefanyika katika majiji mawili Lagos, Nigeria na Accra, Ghana . Tazama kichupa hicho hapa chini.

Post a Comment

 
Top