Menu
 

Ikiwa leo ni Jumapili mwishoni mwa wiki hiki ndicho kilichopo Youtube :-

1.Nibebe - Aslay kwenye mtandao wa youtube top trending in Tanzania ipo Namba 6


2.
Beka Flavour Feat Mr Blue - Tuwesare top trending ipo namba 13


 

3. Goodluck Gozbert - Hawawezi Kushindana kwenye top trending ipo namba 23

 

4. Jeraha - Abdu kiba kwenye top trending ipo namba 285. Fimbo - Jux  kwenye top trending ipo namba 31

Post a Comment

 
Top