Menu
 Rapper toka Nchini Cannada Tory Lanez yupo njiani kuchia mradi wake mpya na round hii akiwa kamshirikisha Bryson Tiller.Kupitia ukurasa wake katika mtandao wa kijamii wa Twitter Tory Lanez ameweza kutweet taarifa hiyo. “OMGSH ME AND @brysontiller HAVE SOME FLAME 🔥🔥 COMING,” Track hii itapatikana kwenye albamu iliyopewa jina la Spanish Album.Katika kumbukumbu zangu huo umekuwa ndio utaratibu wa Tory Lanez kuwa kutoa kijionjo cha track zake pindi anapokaribia kuziachia alishwawahi kufanya hivyo kwenye single zake kadhaa kama “Memories Don’t Die Tour,” aliyomshirikisha Mwanamuziki mwenye asili ya Latin ozuna.

Post a Comment

 
Top