Menu
 


Sokomoko la cyber crime kupitia Mtandao wa Youtube, lamkuta pia Rapper AKA, huu ni mfululizo wa mashambulizi wa hackers kwenye Account za Artists Youtube.
Akaunti yake ya Youtube inaonesha Video zake zote zimewekwa Siku ya Jana yaani ziliondolewa na kuwekwa Upya.

Kwa Tanzania suala hili limemkuta Alikiba kwenye Video yake ya Mvumo wa radi.

MyTake:
Pengine bila suala hili kuchukuliwa kwa uzito litawathiri Artists wengi zaidi, ambapo Altenatively choice, ni kutumia Vevo sababu ya security inayopatikana huko.

Source:- advocate.fi

Post a Comment

 
Top